Msanii anayekuja kwa kasi, Dogo Paten, anawakilisha upendo wa kweli kupitia wimbo wake mpya “Nishike Mkono.”Hii ni ngoma ya hisia nzito inayozungumzia safari ya maisha, mapenzi ya dhati, na matumaini ya kutembea pamoja bila kuachiana hata wakati mambo yanapokuwa magumu 💙Kwa melody tulivu na maneno yanayogusa moyo, “Nishike Mkono” ni wimbo unaofaa kusikiliza ukiwa peke yako, ukiwaza, au ukiwa na mtu unayempenda.🔥
Usikose kuusikiliza na kuudownload sasa📥
Bonyeza Download upate MP3 bure
#DogoPaten #NishikeMkono #BongoFlava #NewMusic #LoveSong

