AUDIO| Brown Tz | Mazoea | Download and Stream

AUDIO| Brown Tz | Mazoea | Download and Stream

Msanii wa kizazi kipya anayekuja kwa kasi kubwa sana na wimbo wake mpya unaoenda kwa jina la MAZOEA.

Mazoea ni wimbo wa hisi unoelezea ukweli wa mapenzi pale yanapogeuka kuwa mazoea. Kupitia sauti yake yakipekee, Brown Tz anasimulia safari yake y mapenzi yenye changamoto,ambapo upendo unapungua taratibu nakuacha maswali mengi moyoni

wimbo huu una ujumbe mzito unaogusa maisha ya wengi, hasa waliowahi kupenda kwa dhati lakini wakajikuta wakipoteza thamani katika mahusiano. Midundo laini iliyochanganywa na maneno yenye maana hufanya Mazoea kuwa wimbo unaosikika mara nyingi bila kuchoka

Download and stream below:👇

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *