Furahia nyimbo mpya ya gospel “Nasema Asante” kutoka kwa msanii Michael Mpepo. Hii ni wimbo wa kuenzi na kushukuru kwa neema, baraka, na upendo wa Mungu. Sauti ya kipekee na maneno yenye maana yanakupeleka karibu zaidi na Bwana.Sikiliza, sherehekea, na ushiriki kwa wapenzi wa gospel wote.
Download | MP3 audio
#Michael_mpepo #nasema_asante

