Hii ngoma “Shengeshaa” kutoka kwa Abloody Machine ni singeli kali yenye tempo ya kasi, midundo ya kuchangamsha na sauti za mtaa zinazokamata masikio haraka. Ina vibe za uswahilini, zile za kusukuma energy kwenye matamasha, mashoo na mitaa. Producer amepiga zile signature za singeli—percussions za haraka, kicks kali, na zile semi zinazolenga ku-burudisha na kuhamasisha movement.
Download and stream below;

