Yesu Hajasafiri ni wimbo wa injili kutoka kwa Obby Alpha unaothibitisha kwamba Yesu yupo daima—hajaondoka wala kutuacha. Kupitia ujumbe wa faraja, tumaini na imani, wimbo huu unawahimiza waumini kuendelea kumtegemea Mungu katika nyakati zote za maisha.
Niwimbo ambao unakuongezea imani yako kuendelea kuamini kuwa hata kwenye hayo majaribu unayopitia Yesu yupo hajasafiri anakuandalia baraka zako
Download and stream below;

