ambaye yuko kwenye mahusiano lakini hayapati upendo anaoutarajia kutoka kwa mpenzi wake. Kila siku anajitahidi kuonesha mapenzi, lakini mwenzake anamkataa na kumfanya ajisikie kama hatoshi katika uhusiano.
Baada ya kuvumilia kwa muda mrefu bila mabadiliko, Ablood anaamua kuwa mkweli — anafunguka na kumwambia kwamba ameanza kumsaliti kwa sababu ya kutopata upendo aliouhitaji. Cha kuvutia ni kwamba anapomwambia, anatumia Kiingereza na kumwambia moja kwa moja: “Nakucheet“
Ni wimbo unaoonesha maumivu ya kutopendwa, hasira ya moyoni, na uamuzi wa kijana kuchagua kutafuta upendo anaostahili, hata kama inaumiza.
“stream and download bellow“

